Tuesday, July 3, 2012

"Kazi ngumu jasho jingi ujira mdogo. waheshimiwa wanalipwa kwa kukaa tu pesa kibao za wananchi"


HUYU ni kijana mdogo sana niliyekutana nae katika kituo cha mabasi yaendayo mbagala licha ya jua kali kumchoma na jasho jingi kumtoka lakini aliendelea kuuza mishikaki yake


fundi magari akiambaa katikati ya mitaa ya kariakoo

Monday, July 2, 2012

Wanafanya kila kitu ili tu siku iwe nzuri kwao


Huyu nilisikia wakimuita white anauza vitabu vya english story za james hardley nikabaki kujiuliza yeye huwa anavisoma au dio mganga hajigangi




 

Teenagers hustles Copyright © 2010 | Designed by: Compartidisimo